Recent content by Xclucv

  1. Xclucv

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wimbo ninaoutafuta mimi lyrics zake ni "samahani dada naomba namba yako moja tu, nataka kuongea mimi na we, nataka nikueleze jinsi gani ambavyo mi, moyo unapenda kuwa mimi na we, we dada weeeeee, unanifanya mi nakosa raha, ni we dada wewe, sababu mi nakupenda sana" nimesahau maneno vizuri, wa...
  2. Xclucv

    Kwanini ni kawaida mwanamke mdogo kutembea na mwanaume mkubwa lakini vise versa inakuwa shida

    Yan nimeuliza saab nnamwana katoka kusemwa juz kati na marafki zake wengne ndo maana imebd niulize
  3. Xclucv

    Kwanini ni kawaida mwanamke mdogo kutembea na mwanaume mkubwa lakini vise versa inakuwa shida

    Hapana hapa siulizi kwanini wanawake hawataki wanaume wadogo, swali ni kwanini jamii inashutumu vibaya mahusiano kati ya mwanaume mdogo na mwanamke mdogo, mahusiano yakiwa tayari yametoke
  4. Xclucv

    Kwanini ni kawaida mwanamke mdogo kutembea na mwanaume mkubwa lakini vise versa inakuwa shida

    Yeah nimeona, ndo maana hili swali limegeza sana kwetu.
  5. Xclucv

    Kwanini ni kawaida mwanamke mdogo kutembea na mwanaume mkubwa lakini vise versa inakuwa shida

    Apo unaongelea upande wa kwamba mwanaume mkubwa mwenye akili, na mwanaume mdogo asie na akili, Kwan hamna makubwa jinga na watu wadogo wenye hekima kuliko?
  6. Xclucv

    Kwanini ni kawaida mwanamke mdogo kutembea na mwanaume mkubwa lakini vise versa inakuwa shida

    Hahaha sasa apo ni sawa na kusema kuku anataga kwasababu anataga, ubaya wake unakujaje?
  7. Xclucv

    Kwanini ni kawaida mwanamke mdogo kutembea na mwanaume mkubwa lakini vise versa inakuwa shida

    Mambo wanaforum, hili swali nimekaa nikiuliza mda mrefu sana. Ninarafiki yangu alikua akitembea na mwanamke aliye mzidi umri lakini watu wakawa wanamsema vibaya, mara kibenten anaehudumia, mara kakosa adabu na mengine mengi, wakati huo huo ninarafiki angu wa kike ambae mwez june ameolewa na...
  8. Xclucv

    Naombeni nisaidieni njia ya kumsahau mpenzi wangu

    Habari wakuu, Nilikua ninampenzi wangu, dada mzuri wa kawaida kisura na mwili, lakini yeye alikua ndie mwanamke ambae nipo tayari kufanya lolote sababu ninampenda sana na yeye alikua anaonyesha mapenzi ya dhati kwangu. Lakini toka mwaka juzi kunavitu alikua akifanya ambavyo anajua...
  9. Xclucv

    Urafiki wa mwanamke na mwanaume

    Unajua tofautisha kumuhudumia dem wako na mahusiano baina ya marafiki, kama dem wako ww ni lazma uhudumie kini apa anaongelea marafiki, tena angalia ata circumstance alizoweka, unakuta unaweza ukawa unataka kumsaidia mtu anazingua, kama mm nakumbuka nilialikwa na mjomba wangu tukazurule saab...
  10. Xclucv

    Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Kama unatafuta rafiki upost kwenye forum hiyo hii forum ya mapenzi, alaf kwanini unachagua rafiki alaf na nyie wanaume mpo poa tu acheni ujinga we dada jiogope,
  11. Xclucv

    Wanaume tuwatendee wema wake zetu.Mama D anawakilisha wengi wanaoumizwa

    DUh sio poa kabsa, hawa ndo wanaume wanaofanya wanaume wote waonekane wabaya, Ishaalah huyo mama Mungu atamlipa
Back
Top Bottom