Recent content by xchaka

  1. X

    JamiiForums Tanzania Ubingwa wa kugegeda umeniponza

    Umenena, nashangaaga sana wanaojisifia sijui tano au saba, hao wanapiga show dk 5. Game inatakiwa ichezwe dk 30 na kuendelea
  2. X

    JamiiForums Tanzania Vijana nawapa tips za msichana kukutamani Na kukuzimia

    Umeandika ujinga, bila shaka nyie ndo wale gym boys mnatembea kama nyani dume eti ili six packs zionekane. Tafuta pesa kijana
  3. X

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Kata ya Nangwa wilaya Hanang~Manyara Chadema imeshapigwa
  4. X

    JamiiForums Tanzania Nilipatwa na homa kali sana nikawa natetemeka sana.

    Naamini kuna professionals. Hospital lazima uende lkn ushauri humu jf kuna professionals pia mkuu
  5. X

    JamiiForums Tanzania Nilipatwa na homa kali sana nikawa natetemeka sana.

    Fafanua mkuu tatizo ni nn?
  6. X

    JamiiForums Tanzania Nilipatwa na homa kali sana nikawa natetemeka sana.

    Habari wana Jf, leo mida ya saa kumi jioni nipata home kali, baridi kali na joto la mwili kupanda. Nikarudi nyumbani kupumzika lakini hali ilizidi kuwa mbaya nikalala kidogo. Baada ya muda ile hali ikaondo lakini joto bado liko juu na pia macho kama yanawasha na kichwa kuuma kwa mbali ila ni...
  7. X

  8. X

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Naomba niweke wazi kwamba mimi si mwana CDM na wala sitarajii kujiunga huko. Ila hayo ni maoni yangu binafsi ukilinganisha na Bavicha ile ya Heche na CDM ile ya Dr Slaa
  9. X

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    Habari wakuu, CHADEMA ilifanya makosa sana kuwaweka hawa watu kwenye nafasi za juu kabisa katika chama chao. Binafsi sikuwa naona haiba yoyote ya kiuongozi wa kisiasa kwa huyu Patrobas, hajui kuongea wala hana pinch ya kiuongozi kabisa. Hivyo kuondoka kwake CDM ni manufaa zaidi kwa chama hicho...
Back
Top Bottom