Recent content by Xavier Wenger

  1. X

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

  2. X

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Unaweza kutupa hata maswali waliyoulizwa mkuu.
  3. X

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Nawew upo CBLS? Tupo pamoja kaka.
  4. X

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Marks za written haziusiani kabisa na oral, kwenye oral unaenda kutafuta marks nyingine ambazo zitakufanya upate kazi endapo utajibu vizur na kupata marks nyingi kuliko wengine
  5. X

    JamiiForums Tanzania PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

    Nikushauri hapo kitu, wanaposema barua ipitie kwa mwajiri inawezekana wakati unaweka taarifa zako kwenye mfumo au portal uliandika kuwa wew currently umeajiriwa ndo maana status inasoma kwenye mfumo kuwa wew upo kwenye ajira. Nakushauri pitia account yako yote kama kuna sehem ulifanya ivo...
  6. X

    JamiiForums Tanzania PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

  7. X

    JamiiForums Tanzania Waliomba ajira ktk tangazo la MDA's na LGA's lililotoka PSRS.

    Tarehe ya usaili bado hawajatangaza hata mim niliomba, endelea kusubili mda wowote wanaweza toa soo kaa tayar maana taasis nyingi zimeanza kutoa tareh za interview
  8. X

    JamiiForums Tanzania Msaada unaitajika

  9. X

    JamiiForums Tanzania Waliofanikiwa kufanya oral (TRC) kuanzia tarehe 5-8 february tukutane hapa

    Kama ulifanya oral ni maswali gani waliyouliza kama unakumbuka kwa msaada wa wengine
  10. X

    JamiiForums Tanzania Ni ipi tafsiri ya neno Mganga Mfawidhi?

    Ndugu zangu wana JF naomba msaada nataka kujua maana ya neno au tafsiri ya neno Mganga Mfawidhi kwa kiingereza. Asante
Back
Top Bottom