Kuna kila sabau ya kumuunga mkono aliyeleta hii mada muhimu kwa watanzania walio wengi amabo ni wakulima na wafugaji. Sio kweli kua nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea kilimo. Kinachtakiwa ni kua na viwanda vya kuongeza thamani mazao yatokanayzalishwa ili tuuze nje bidhaa zilizoshaongezwa...
Kweli kabisa nakubaliana nawe kuwa bodi ndio tatizo kubwa. Aliyehangaika sana kuianzisha na kuteuliwa kua MD hakumaliza hata mwaka mmoja akaundiwa zengwe akaondolewa Unceremoniously kwa kua alikua strict na fedha za benki. Tunaomba uchunguzi kwa hili. Leo hii benki haina direction.
Wahusika tunaomba ukweli kwa hili kwa kua ni kitu cha hatari. Hali ilivyo mbaya mifukoni halafu tukapata njaa watu watakimbia familia. Ndege ni muhimu lakini twende taratibu.
Huyu ni taahira. kama sisi tuliopo hapa nchini tumeridhika raisi wetu yeye yupo marekani kinachomuuma nini? Mange acha mara moja kuharibu sifa nzuri ya raisi wetu. Watanzania wazalendo wa nchi hii tunatambua mazuri anayoyafanya raisi wetu. Tunajua anatumiwa na watu wasioitakia memahi yetu.
Chonde chonde acha mambo ya siasa madhabahuni. Hiki kinachoendelea si wengine hatukiafiki kabisa. Acha kutumiwa na viongozi wa kiasiasa. Ilianza uchaguzi wa 2015 kwamba ooh dhehebu letu halijawahi kutoa raisi. Mbona aligombea akashindwa.Jamani mnakoelekea siko. Siasa ni siasa na dini ni dini.
Tanzania itajengwa na Watanzania kwa ajili ya manufaa ya watanzania na hatuhitaji mawazo ya wakenya ambao yakwao yamewashinda. JPM yupo kwa ajili ya watanzania na sio wakenya.
Vilevile kuna maduka ya fedha za kigeni hayatoi risiti. Fedha ya Tanzania inauzwa kama nyanya sokoni. Mfano ni Sanya
Bureau de Change hapa Arusha. Miaka iliopita ukiomba risiti wanakuangalia kama nyanyambichi. Leo (zama za EFD) wanadai mashine mbovu. Transaction wanazofanya kwa siku ni...
Tunafananisha kitendo hicho na kupanda meli ambayo tayari imeshazama nusu. Unatarajia nini? Vilevile huyu Ndugu alikua hapendi kukaa kwenye jimbo lake kwa hiyo tuna kila sababu ya kumtosa kwenye ubunge kama atagombea kwa mara nyingine. Kama anataka agombee huko Arusha anakoishi.
Unaposema kua Katibu wa siasa na Uenezi wa CCM Ndugu Polepole sio mwanasiasa mkakati ulitaka atumie mikakati ile ile waliotumia wenzao? Mikakati ipo mingi unachagua ni upi utakifikisha kwenye lengo tarajiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.