Recent content by X-ray

  1. X

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Uingereza wadai Kenya lazima ifanyiwe chanjo ya majaribio

    Black wengi ni masikini na huo umasikini tulionao, kila siku kwenye maisha yetu unatuweka katika risk kibao za kifo au ikibidi kufa kabisa, so kwetu cc kufa si swala gumu sanaaaa litukoseshe usingizi, hofu tunayo ila wao zao zimezidi so hatuhitaji chanzo za majaribio, nadhani wajijaribie wao...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Teknolojia gani ni kubwa zaidi kutokea duniani?

    Kwangu km ikitokea telotransportation ndio itakuwa bora Sent using Jamii Forums mobile app
  3. X

    JamiiForums Tanzania Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

    Tuna viongozi waajabu sana hawajawahi kutokea, yan wanajiaminisha corona ni km mafua wanasimplify sana Kama leo wamewachukua raia kutoka mataifa yalio athirika na corona then quarantine wamewaleta hotel kariakoo mtaa wa aggrey Sent using Jamii Forums mobile app
  4. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Oya ninyi CCM NA CDM tafadhari tuachieni huu uzi fungueni mwingine mjadili hayo mambo sisi tunapata update za corona tunawaomba tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Asante kwa taarifa nzuri ila sijaelewa hapa uchumi ukiwa 0.5 unawezaje kusababisha dunia kuwa mwisho yan naomba kujua ss uhusiano Sent using Jamii Forums mobile app
  6. X

    JamiiForums Tanzania Picha zavuja zinazo onyesha makaburi ya pamoja Iran, ni dhahiri wanatumia nguvu nyingi kuficha Corona

    Dude liingie mara ngapi kirusi tayari kinalanda landa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Dogo wa hapo juu chenga ndio maana nimempa jibu kulingana na uwezo wake wa kufikir, anauliza nimepataje mil 5 jibu ni kubet aende akabeti aone Sent using Jamii Forums mobile app
  8. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Imekaa vizuri hii asante Sent using Jamii Forums mobile app
  9. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Ni bet bro jaribu na ww mungu atakusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Hello Nitangulize samahani kwenu maana nitatumia uzi huu kuomba ushauri kwa sababu ndio wapo member wenye fully update za corona na hali ya kiuchumi ya dunia kwa sasa so sina budi. Tafadhari usinitukane nijibu na km nitakuwa nimekuudhi narudia samahani sana. Nipo mbioni kufungua biashara ya...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Algeria, misri, ni inchi za kiarabu zilizopo africa same as iran, oman na hao waarabu pia tumeona wameathirika na corona, still i hope black hapati madhara na corona virus. Let us wait Sent using Jamii Forums mobile app
  12. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Roger that Sent using Jamii Forums mobile app
  13. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Ila pia nina imani kwa mbali sana na kauli kuwa black people hawapati corona kwasababu, ugonjwa umelipuka maeneo ya wuhan ambapo kuna population ya watu mil 10 na ndipo ambapo kuna vyuo vingi sana china na inasemekana mpk mwaka 2018 inchi za africa zote kwa pamoja zina idadi ya wanafunz elfu 6...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Kulingana taarifa ya jana ya waziri wa afya ummy mwalimu, nina kila sababu ya kuisi kwamba ugonjwa umefika tz ila labda wanaficha tu kwasababu tayar walishafanya makosa ya kuwakaribisha wachina ambao kimsingi ndio super-spreader, Kauli inayonipa shaka mpk ss 1. Kutoa agiza kwa kila mkuu wa mkoa...
  15. X

    JamiiForums Tanzania Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

    Juu ya hili serikali ya Tanzania inapaswa kubeba huu msala kabisa lawama ni juu yao nashindwa kuelewa ni nn hasa yalikuwa malengo yao kuwakaribisha wachina eti kutalii wakati huu wa ugonjwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom