wakuvamia vituo vya vyama vingine vinvyokusanya matokeo na kuvamia vituo vya haki za binadamu ? vya kutisha watu na majeshi ? kufunga watanzania wenzenu, kuwaua na kuwatesa ? Kama ni kura halali why all that ?
Namlaani na yeye kwa kumuua mtoto kwa Risasi............Alaaniwe mara mbili........uzazi ulivyo mgumu namna hii halafu mtu kwa tamaa tamaa za ARDHI ambayo inaishi milele unakufa unaiacha Uniulie mtoto? Afe mara mbili...........Umri na weledi aliokuwa nao alikuwa na uwezo wakutumia hekima...
kafanye kazi ulee wanao, uwasaidia wazazi wako, ujenge taifa lako, wenzio wanawajibika wanatimiza wajibu wao wewe unahangaika kuwachafua? Hawachafuki ng'oooooo, hata useme umewafumania bado wataendelea kukuwajibikia wewe, upate nishati yakuandika utumbo kwenye mitandao. Fanya kazi kwa bidii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.