Recent content by wozaa

  1. W

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' abadilishiwa adhabu, sasa kutumikia kifungo cha nje

    Mpaka sasa ni wauaji wangap wanatumikia kifungo cha nje?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' abadilishiwa adhabu, sasa kutumikia kifungo cha nje

    "Dada is coming".. Hii kauli inaonyesha nani amefanya jitihada za kumnasua Lulu..dady ake ni noma
  3. W

    JamiiForums Tanzania Muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu' abadilishiwa adhabu, sasa kutumikia kifungo cha nje

    Ningekua Mimi,ningeozea jela..jaman acha nitafute pesa na umaarufu
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

    Aisee kwelii..yan hyo bei ya nyanya imenifanya nisahau kupika roast..ni Mwendo wa chukuchuku tu sasa.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais umeharibu malengo yangu na familia yangu

    "Mdharau mwiba mguu huota tende"...waswahili wanasemaga hivo..sasa acha tuote matende tu Hamna namna
  6. W

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Heche ni wakorofi, waonywe

    Kama niliskia marehem amepigwa kisu akiwa amefungwa pingu..au mh Heche alitudanganya?
  7. W

    JamiiForums Tanzania AJALI, MOROGORO: Mwanajeshi na Mtoto wafariki baada ya Basi la Polisi kugongana na Noah iliyokuwa na Wanajeshi

    Kabisa yani, Mungu anasikiliza huzun ya mnyonge.
  8. W

    JamiiForums Tanzania AJALI, MOROGORO: Mwanajeshi na Mtoto wafariki baada ya Basi la Polisi kugongana na Noah iliyokuwa na Wanajeshi

    Hata sisi ndugu zetu wanauliwa ila hao wanajesh sijui polis hawana hurum na sisi.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

    Tasa la taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom