Nimetenga muda sana kufuatilia hotuba ya John Heche akıtangaza nia ya kugombea umakamu mwenyekiti wa CHADEMA. Nimemsikiliza kwa makini Tundu Antipas Lisu (TAL) na kisha Ezeckiel Dibojo Wenje kabla ya Heche kuna mambo kadhaa yanahitaji jicho na fikra tunduizi.
Mosi, ukimsikiliza Heche, mbali na...
Watu wengi wanashangaa na kushtushwa na mtifuano wa uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya CHADEMA. Wanaona ni jambo jipya. Wengi wameanza na kubashiri chama kupasuka. Lakini ukweli ni kwamba kwa wafuatiliaji na watafiti wa siasa za upinzani hususan zinazohusu CHADEMA na chaguzi zake karibu...
Kwa sisi wafuatiliaji wa siasa za upinzani Tanzania lakini na uhusiano kati chama dola na dola na chama dola na upinzani lakini mazingira ya siasa za Tanzania kwa ujumla wake tunafahamu kwamba siasa za Tanzania zinaishi katika state machinery ambayo ina players wengi. Lakini msingi na kazi...
Hakuna mahali nimesoma iko stable…read me. Ninachosema, akina Maria Sarungi and co. they wish setbacks katika opposition build up ku maintain hali ilivyo. Instability na chaos idumu , maana inampa mkate na maslahi. Kilipofikia sasa CHADEMA ni stable enough kukifanya CCM kiogope uchaguzi kabisa...
Unachosema hapa ni generally kauli za akina Dr Slaa na timu nyingine ambazo ni wahanga wa michakato ya kisiasa ndani ya CHADEMA au wanaharakati “pandikizi” na mslahi kama akina Maria Sarungi. Hebu toa ushahidi mmoja tu kwamba CHADEMA with all its institutional buildup enough to shake CCM hadi...
Chief hata Kwahiyo confrontation na radicalism, CHADEMA hawajawahi kuifanya? Je Maria Sarungi amewahi kuonekana in an any of those incidents? In fact mara nyingi alikuwa akipinga na kuwaita chama cha maandamano. Ukitazama mwenendo wa yote, ni kama uivyoeleza. Maria ni ‘set up’ activist...
Kimsingi tunafikiri sawa. Hiyo ya deep state nimeonesha kwamba probably TAL hana lakini ana mfumo ulio nje ya chama zaidi kuliko within ndiyo maana anashambulia na kukibagaza chama chake hata kwa gharama ya reputation. Lengo ni ku set future benchmarks. Tayari KK Lema is out. Maria Sarungi...
Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo kadhaa yalikuwa dhahiri na yanaweza kulinganishwa kwa kiwango kikubwa kwa mizania na mlinganisho na hali...
Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, mtawalia pamoja na kuhujumiwa sana, yalionesha wazi kushindwa vibaya kwa CCM na kama isingekuwa...
Huko nyuma niliwahi kuandika ujio wa Bernard Membe ndani ya ACT na hatma ya coalition au ushirikiano wa vyama vya Siasa. Nilieleza kwamba Membe ameingia ACT-Wazalendo akiwa tayari na uamuzi wa kugombea urais mfukoni huku akivitaka vyama vingine vya upinzani vimuunge mkono. Kwake yeye haamini...
Nimepata kumsikiliza Bernard Membe. Hotuba yake, manuwio na matatajio yake. Lakini pia nimepata kumsikiliza Mwenyekiti wa chama cha ACT-Wazalendo Maalim Seif Sharif na Kiongozi Zitto Kabwe.
Kuna ujumbe wa aina tatu. Mosi; Membe anasemwa/anasema yuko tofauti na Edward Lowasa, hivyo asifananishwe...
Kati ya tukio lililochukua headlines kwenye mchakato wa CCM kuwapata wagombea wake wa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ni kitendo cha Mwenyekiti wa muda wote na mmiliki wa chama cha UDP John Cheyo aka Bwana Mapesa kumwomba Mwenyekiti wa CCM Mbunge mmoja na madiwani...
Nianze kusema mapema kabisa mimi ni mchambuzi huru, ninayetazama Siasa za Tanzania katika mizania ya uhalisia wake na kujaribu kujenga hoja kulingana na miktadha inayokuwa inajitokeza. Uchambuzi wangu hapa utalenga zaidi kuzitazama Siasa za upinzani kuelekea mwaka 2020 na possible trends ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.