Narudia tena uelewe nachosema ila ningumu ila tambua jambo ambalo hutumia hisia ni ngumu sana control ikitokea shida yake kwasababu pombe utaona moja kwa moja madhara yake
Natamani uelewe nachoelewa mimi ila ni ngumu kwasababu unaupeo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo,ila tambua kamari inaleta madhara ya changamoto ya akili ambayo kwa miaka mingi jamii zetu changamoto ya akili tunakimbilia kusema amerogwa
Chief kamari ni mbaya ni mbaya ni mbaya zaidi ya pombe kwasababu pombe unakunywa unalewa unalala ila kamari kuacha ili ulale maana yake umeishiwa na pesa namba moja ,mbili kama ilaleta( gambling disorders) mambo ya addiction yanaingia hapo then unaanza kupata changamoto za afya ya akili
Kamari kamari narudia tena inamaliza vijana kwa wazee,watu wapo na changamoto ya afya ya akili, madeni,ndoa zinayumba tusaidiane wanajamii kupunguza madhara yake
Hakika tunahitaji rehab centers mapema kabla janga hakijakuwa overspread tukashindwa kucontrol nguvu kazi inapotea fikiria miaka 13-14 kijana anaanza kubet unadhani baada ya miaka kumi atakuaje, hata kwenye masomo ya maadili hiki swala la kubet au kamari haliweki sana kwasababu ya wachache...
Ni sawa ila tambua kama sio wewe basi kizazi chako au familia yako itakuja kupata matunda ya haya makamari kipindi upo hoi taabani tujaribu kupunguza mwisho wa siku kuacha
Kabisa umeeleza kwa uzuri kabisa kamwa ambaye hata elewa na hapa katumia lugha nzuri ya kueleweka ,sasa wale ambao waathirika wanahitajika kupata msaada wa kitaalamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.