Recent content by World Logistics Company

  1. World Logistics Company

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Haya maelezo ni sahihi 100%. Ni matumaini yetu watu wengi watajifunza kupitia ufafanuzi huu mzuri. Asante Jestkilla kwa kutoa elimu inavyostahiki.
  2. World Logistics Company

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Pengine hukuelewa mantiki ya huu mnakasha. Sisi ni kampuni ya lojistiki na usafirishaji, tunatumia nafasi yetu kupima uelewa wa wadau pamoja na jamii kuhusu dhana mbalimbali za sekta yetu. Karibu utupatie mchango wako. Unaelewaje unaposikia au kuona gari limeandikwa Transit Goods?
  3. World Logistics Company

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Ufafanuzi mzur mdau. Unaweza kutupatia maelezo ya kina zaidi?
  4. World Logistics Company

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Ni lazima nchi zinakopita kusiwe na bidhaa husika?
  5. World Logistics Company

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Jibu zuri lakini sio lazima iwe China mdau.
  6. World Logistics Company

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini?

    Je, gari la mizigo likiandikwa "transit goods" huwa inamaanisha nini? Kuna watu wengi hawafahamu. Itabidi kupitia JamiiForums wapate nafasi ya kujifunza. Wenye majibu sahihi tafadhali tupatieni tuelimike kwa pamoja. Nini maana ya gari hizi kuandikwa transit goods au goods on transit?
  7. World Logistics Company

  8. World Logistics Company

    Kwanini ufuate bidhaa au mzigo nje ya nchi?

    Kwa upande wetu hakuna. Tupo kwenye sekta kwa zaidi ya miaka 15 sasa. Karibu ofisini Posta, Diplomat House 3rd floor.
  9. World Logistics Company

    Kwanini ufuate bidhaa au mzigo nje ya nchi?

    Sawa sawa mdau. Usisite kurejea kwetu baada ya kukamilisha mchakato husika.
  10. World Logistics Company

    Kwanini ufuate bidhaa au mzigo nje ya nchi?

    Mkuu Bujibuji, jaribu kuangalia gharama zake kutoka kwa wauzaji kupitia mtandao, kisha tupatie details zake baada ya kufanya malipo. Sisi tutaifuata na kukuletea popote ulipo. Namba zetu +255 784 271957
Back
Top Bottom