Pongezi zetu ziwafikie viongozi wa kiserikali kwa Maamuzi ya kuwatambua watanzania wote kupitia utoaji wa vitambulisho vya Taifa.
Mbali na yote kuna tangazo lililotolewa kuwa ifikapo tarehe 20/01/2020 simu(laini) ambazo zitakuwa bado hazijasajiliwa kwa mfumo wa alama za vidole zitazimwa...
Ndg usishangae akili za watanzania hasa walio wengi wanawaza mambo ya kisiasa pamoja na mapenzi lakini tukizidi kuwapa faida za vitu vyenye tija watabadirika na mwisho tutafika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.