Recent content by Wolle Melkas Fernando

  1. W

    JamiiForums Tanzania CCM ilishindwa kumtumia Humphrey Polepole Sasa inatafuta mchawi

    Ilikuwa vigumu sana kushindana na CHADEMA kwa sasa. Kwasababu ccm hutumia Mamilioni ya pesa ili kukamilisha mkutano mmoja. Bajeti za kutoa pesa kwa watu wahudhurie, bajeti za kukodi magari ya kubeba watu kwenda na kurudi wasingeweza kushindana na Chadema ambayo inatangaza tu mkutano wa hadhara...
  2. W

    JamiiForums Tanzania CCM ilishindwa kumtumia Humphrey Polepole Sasa inatafuta mchawi

    Kwa sasa ccm imekuwa skeleton ni vigumu sana kulilisha li skeleton liote nyama. Labda ije miujiza ya Daniel na kisa cha bonde la Mifupa Mikavu. But ccm has ended up.
  3. W

    JamiiForums Tanzania CCM ilishindwa kumtumia Humphrey Polepole Sasa inatafuta mchawi

    CCM inapaswa kuacha kutafuta visingizio kuhusu kuporomoka kwa mvuto wake kisiasa. Tatizo kubwa haliko kwa wapinzani, bali kwenye maamuzi ambayo chama chenyewe kimekuwa kikiyafanya. Baada ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kulikuwa na kundi kubwa la wanachama na wafuasi waliotaka kuona...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Chatanda si tu kaikosea chadema, ameikosea sana CCM na amelikosea Taifa katika kipindi hiki watu wanasaka maridhiano. Chatanda anauthibitishia Umma kuwa CCM ipo kwa kutegemea nguvu ya vyombo vya dola na si kwa kupendwa na wananchi au kwa Hoja zenye ushawishi. Huyu mama anapaswa kujiuzulu.
  5. W

    JamiiForums Tanzania 𝐂𝐂𝐌 𝐲𝐚 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐈𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐁𝐮𝐬𝐚𝐫𝐚, 𝐇𝐞𝐤𝐢𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐇𝐨𝐣𝐚. 𝐒𝐢𝐲𝐨 𝐊𝐚𝐮𝐥𝐢 𝐳𝐚 𝐂𝐡𝐮𝐤𝐢.

    Katika kipindi hiki ambacho taifa letu linapitia maumivu makali ya kisiasa, sintofahamu ya maridhiano na maswali mengi kuhusu mustakabali wa demokrasia na Umoja wa Kitaifa, sisi Watanzania tunahitaji viongozi wenye busara, hekima na lugha ya kuunganisha taifa na sio viongozi wanaoonekana...
  6. W

    JamiiForums Tanzania CCM kutoka kuwa Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi hadi Chama Cha matajiri

    Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo. Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama. Kinachotoea sasa na Kinachoendelea ni udhalilishaji Hawa walengwa yaani Wakulima na Wafanyakazi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ni "Right Person in The wrong Political Party"

    Asilimia kubwa anajimaliza kisiasa
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ni "Right Person in The wrong Political Party"

    Akaona bora awe "YUPO!" Kwenye Serikali za awamu zote 😂
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina ni "Right Person in The wrong Political Party"

    Mpina kuvaa Tshirt yenye picha ya hayati Magufuli anaweza kuwa ni 'Right Person in the wrong Party' Luhaga Mpina ni mgombea Urais kwa Chama Cha ACT wazalendo. Tangu akiwa Mbunge Mpina ni mtu aliyejitanabahisha kuwa ni mfuasi wa falsafa za uongozi wa Magufuli. Sidhani Mpina kama amepata muda wa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina hajafikiria vizuri

    🔸Kwenda ACT ni faida kwa CCM na ACT. 🔸Hajaikomesha CCM ila kajikomesha Mwenyewe. 🔸Karata ya "win win situation" hajaichanga vizuri. Hakuna asiyejua kuwa Luhaga Joelson Mpina ni mtu mwenye msimamo thabiti katika masuala mbalimbali ya Kitaifa hasa yanayogusa maslahi ya umma na anakubalika na...
  11. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Hakika Nyakati hizi TAKUKURU haipaswi kulala
  12. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watia nia ya ubunge kupitia CCM kila mtia nia aende agombee kwenye jimbo alikozaliwa

    Haihusiani, sio lazima ulikozaliwa. Tanzania ni Moja na popote unagombea. Huu sio Uchifu.
  14. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

    Kwa niaba ya wana CCM wanaofuata Misingi ya Chama kulingana na matarajio ya Waasisi ambayo inatambua kuwa binadamu wote ni sawa, na kwamba kulingana na itikadi ya CCM Kila mtu ana Haki ya kutambuliwa na kuthaminiwa. Haya matendo na matukio ya uuaji na utekaji sio ya CCM ya Baba wa Taifa au kina...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kufungia mtandao wa X zamani (Twitter)Tanzania

    Ujinga tu hakuna Kingine
Back
Top Bottom