Recent content by Wizfranco

  1. Wizfranco

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo Chadema hilo lazima tukubali

    Hujajibu hoja. Acha demokrasia itawale.. kwani katiba ya CDM inasemaje?. Maana fupi ya demokrasia is power to many na sio vijitu vichache. Hoja za watu ni kwa nini kila anayetaka kugusa kugombea uenyekiti anafulushwa[emoji3]?.. jibuni swali hili, mm binafsi nazani kama mioyo ya wanachama wa CDM...
  2. Wizfranco

    JamiiForums Tanzania Tweet ya Mtaji wa 200,000/- ya Benjamin Fernandes ya pata wanunuzi wengi mno.

    Wapo watu wameanzia chini wakafika kileleni. Kitu kinachotushinda wengi ni idadi kubwa ya mishale inayotupata, mfanya biashara mdogo ndiye anayepatwa na idadi kubwa ya mishale hivo asipokuwa imara naweza kusema aipokuwa gaidi atadondoka mapema na kuwashuhudia watu ugumu huo. Inawezekana kabisa...
  3. Wizfranco

    JamiiForums Tanzania Madaktari msitutishe na UKIMWI, kisukari ni hatari zaidi

    Hicho kisukari kinaambukizwa bro? Au saratani inaambukizwa?. Magonjwa ya kuambukizwa ni lazima yawe na kampeni nyingi ili kuweza kupunguza au kujaribu kuyamaliza... Ukimwi uliogopeka na kuzungumzwa miaka ya nyuma maana tuliona uhalisia halisi wa ugonjwa husika kwa waathirika. Siku hizi ARV...
Back
Top Bottom