Recent content by Wizardweed

  1. W

    Pamoja na kuzuia kivuko kufanya kazi, Kongamano la Katiba Mpya lafana Ukerewe

    Mtu wa sita ni wewe na mimi wa saba. Mwisho Patafurika.
  2. W

    Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

    Unatapatapa tu. mmefikia mwisho wa kufikiri hamuwezi hata kubuni vitu vyenye Mantiki,mnatengeneza magenge ya Wahuni mkijifanya eti vijana wa Chadema ,CCM bado Wajinga kabisa. Tumewajua na hamtudanganyi
  3. W

    Moto Kariakoo: Tunaendekeza machinga mentality, tumeanza kuvuna mabua

    Ukitaja maji ndio watakupenda ?, Msiogope njia ya HAKI kisa mmezoea Vitu vya Kunyonga
  4. W

    Ni fedheha kubwa sana kwa Chama kikongwe kama CCM kuogopa kabisa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

    Na wewe wafikirije?, Kutaka REFA alie HURU KUFANYA maamuzi nalo kama kwako si JEMA, unateteaje REFA asie huru na kujinasibu hujidanganyi?
Back
Top Bottom