Ni fedheha kubwa sana kwa Chama kikongwe kama CCM kuogopa kabisa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi

Siwapendi wabunge wa CCM kwakua mi waoga wa maisha badala ya kupigania haki za wananchi wao Wana side na serikali utadhani wameajiriwa na serikali akati kimsingi ilitakiwa serikali ihemee mipira kwa hoja na vitu vyenye msingi
Mbuge mwenye hofu ya maisha na mshahara wake anitafute ni mpe mbinu ya kuingiza mshahara wake ndani ya 24 hrs kama hofu ni hela ambazo utaziacha tu Ila watu wengi wanateseka kwasababu ya wajinga wachache niseme nyie mbwa I hate u all nawaombea laana Kama hamto jipanga kutetea matakwa ya wananchi mkalie ujinga tuu
 
Tusidanganyane,Mjadala wa katiba umekua ni Mjadala wa matumbo yenu..wengine Mnataka kulinda status quo ,wengine mnadhani ikibadilika mtaingia madarakani....TUSIDANGANYANE
Wewe unataka nini sasa , au bora liende tu mpaka Mungu atakapokuchukua ?
 
CCM ni chama cha siasa au ni genge la vibaka!Chama gani cha siasa kinatawala nchi kinatoa viongozi wa ajabu hadi wengine wanabaka na kulawiti wananchi(akina Sabaya)?Hivi unakumbuka kuwa Magufuli alikuwa anafanya hadi ubaguzi wa rangi kwa waafrika wenzake?Nyieee!
 
Labda kwa faida ya ccm , viongozi wake , wazee wao pamoja na wote waliopita hapo ni kwamba KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI havikwepeki kwa sasa , hakuna namna yoyote ile ya kulikwepa jambo hili , NO WAY ! kwahiyo jambo la msingi kwa watu hawa ni kujiandaa na kujipanga kuishi ndani ya maisha mapya yaliyojaa haki za kikatiba , habari za Akina Mahera , Jecha au Augustino Ramadhan zinakomea hapa ,
Siyo kwamba hawayajui haya mkuu. Wanayajua. Ni kiburi tu.
 
Umesema KATIBA MPYA...TUME HURU haikwepeki kwa sasa....ukamalizia "no way no way".....

Hizi ndizo CHOKOCHOKO ZENYEWE.....

Mamlaka zikikataa ,je hiyo "no way" yako itakuwa na mawanda yapi ?!!!
 
Kwa umri wa CCM kama chama , na kwa umri wa wanachama wake na viongozi wote wazee waliopita hapo , na kwa umri ambao chama hiki kimetawala na kuongoza Tanzania ni jambo la Aibu kubwa sana ya kufunika uso kuiogopa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi .

Uchunguzi unaonyesha kwamba viongozi wa ccm wakisikia jambo hili la Katiba mpya wanapigwa na baridi kali kiasi cha kutetemeka mwili as If ni Watuhumiwa wanaosubiri kunyongwa huku kitanzi cha kuwaning'iza kikiwa kinateremshwa kwenye shingo zao .

Labda kwa faida ya ccm , viongozi wake , wazee wao pamoja na wote waliopita hapo ni kwamba KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI havikwepeki kwa sasa , hakuna namna yoyote ile ya kulikwepa jambo hili , NO WAY ! kwahiyo jambo la msingi kwa watu hawa ni kujiandaa na kujipanga kuishi ndani ya maisha mapya yaliyojaa haki za kikatiba , habari za Akina Mahera , Jecha au Augustino Ramadhan zinakomea hapa , Mwisho wa kubebwa na hao makada wenu wanaoitwa Wakurugenzi akina Kagurumujuli , Mwakabibi na wenzao imekwisha , NOTHING LASTS LONGER , umefika wakati wa kujieleza mbele za umma mlichokifanya kwa miaka lukuki iliyopita bila kumung'unya maneno , Hakutakuwa na cha Mswalie mtume

Jifunzeni kuishi kwa haki , jifunzeni kushinda chaguzi kwa haki na kikubwa zaidi jifunzeni kuvumilia maumivu waliyoyavumilia wenzenu , Rais Mstaafu Jakaya Kikwete , aliwahi kuwaambieni kwenye vikao vyenu kwamba kama wapinzani wakisema ccm haijafanya kitu , basi ni kazi yenu kuwaambia wananchi kwamba mmefanya hiki na kile , halafu wananchi wapime wenyewe , Waonyesheni MAVIEITE na Maflyover , MADARAKA NI DHAMANA YA MUDA MFUPI TU , muda wenu umekwisha


Ujenzi wa democracy unafuata bottom-up approach, sio top-down approach. Ni uchizi kwa nchi yenye vyama visivyoongozwa kidemokrasia kufikiria kwamba inaweza kuwa na utawala wa kidemokrasia kwenye level ya nchi. Chadema nyosheni mambo yenu kwanza. Kama hamna ujasiri wa kushughulikia dictatorship iliyomo ndani ya chama chenu, obviously, hamna wisdom na courage ya kupigania democracy kwenye level ya nchi!
 
Umesema KATIBA MPYA...TUME HURU haikwepeki kwa sasa....ukamalizia "no way no way".....

Hizi ndizo CHOKOCHOKO ZENYEWE.....

Mamlaka zikikataa ,je hiyo "no way" yako itakuwa na mawanda yapi ?!!!
Hakuna mwenye mamlaka kama katiba haijayatamka hayo mamlaka. Leta kifungu cha katiba kinachompa mamlaka Rais kuzuia mikuyano ya vyama vua siasa.

Vyama vya siasa vifanye mikutano yao kwa uhuru kama katiba inavyotamka, halafu tumwone kiongozi ibilisi atakayezuia.
 
Ujenzi wa democracy unafuata bottom-up approach, sio top-down approach. Ni uchizi kwa nchi yenye vyama visivyoongozwa kidemokrasia kufikiria kwamba inaweza kuwa na utawala wa kidemokrasia kwenye level ya nchi. Chadema nyosheni mambo yenu kwanza. Kama hamna ujasiri wa kushughulikia dictatorship iliyomo ndani ya chama chenu, obviously, hamna wisdom na courage ya kupigania democracy kwenye level ya nchi!
Uzushi hautakusaidia kitu
 
Back
Top Bottom