Serikali imemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Ifakara kufanya kazi kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa wananchi mapema.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) amesema akikagua mradi huo Oktoba 2, 2026 kuwa uamuzi wa kufanya kazi hivyo utafanikisha...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amekagua mradi huo na kuona utekelezaji wake akielekeza maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wananchi wa Mavuji iwe siku Saba tu.
Mhe. Aweso akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko , mkoani Lindi baada ya kufungua maji ya bomba ya mradi...
Serikali imejipanga na kujidhatiti kuhakikisha miundombinu ya majisafi na majitaka nchini inaendelea kutoa huduma kwa ufanisi kuelekea msimu wa Mvua zilizotabiriwa za El-nino kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA).
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo wakati akikagua...
Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Maji wa Hati Fungani Tanga ametakiwa kuhakikisha anafanya kazi kwa saa 24 ili mradi ukamilike.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametoa maelekezo hayo akikagua mradi wa Hati Fungani Tanga unaoendelea katika eneo la Moe.
"Hatuna muda wa kupoteza, mkandarasi...
SIKU 9 ZA MKANDARASI – MIJI 28 KOROGWE, HANDENI. MUHEZA NA PANGANI
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amempa Mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Miji 28 Korogwe siku 9 kuanza majaribio ya kusukuma maji kutoka mtoni hadi kwenye Mtambo wa Kutibu Maji (WTP).
Agizo hilo limetolewa Septemba 21...
Usafi wa mazingira ni ustaarabu, usafi binafsi ni utu. Tusiwe chanzo cha kero kwa wadau wengine mtaani kwetu kwa matumizi yasiyosahihi ya miundombinu ya maji au matumizi ya makusudi kwa kuharibu.
Serikali inajenga miundombinu hii kwa matumizi ya wananchi wote na kuimarisha afya ya jamii yetu...
Serikali imefanikisha kazi ya kuchimba visima 10 mkoani Singida kwa kutumia wataalam wazawa na mitambo ya Serikali.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) kufuatia kazi hiyo amemkabidhi mkandarasi kampuni ya Megha Engineering and Infrastructure, visima hivyo kukamilisha utekelezaji wa mradi wa...
Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama.
Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii, na huepusha usumbufu kwa watumiaji na wadau wengine, pia mazingira
Mji wa Mangaka na maeneo jirani sasa kunufaika na mradi wa maji wa mji 28 uliofanikishwa na Serikali ambapo hali ya upatikanaji wa maji kwa wananchi ni hakika asilimia 100 kutoka asilimia 20.
Ni hatua mahsusi ya Serikali katika kuongeza uzalishaji na kusambaza maji katika mji wa Mangaka na...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemteua Mhandisi Leonard Msenyele kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). Mhe. Aweso amefanya uteuzi huo wakati wa kikao kazi na watendaji wa taasisi hiyo kilicholenga masuala ya utendaji ikiwemo utoaji wa...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa katika ziara ya kikazi jijini Mwanza ,Amesema changamoto ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji katika Jiji hilo iliyotokea siku za nyuma ilisababishwa na uzembe wa baadhi ya watendaji, lakini hivi sasa kazi kubwa ya uboreshaji wa huduma...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema hatokuwa kikwazo kwa wananchi kupata huduma ya maji safi na salama nchini.
Akikagua Mradi wa maji wa miji 28 katika eneo la tekeo la maji (Intake) mtaa wa Senga Geita amesema atahakikisha kazi inafanyika kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.