Suala hilo limeanza kufanyiwa kazi na wenzetu kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1847958/
Wameanza na kuelekeza kushushwa kwa gharama za usajili na tozo. Ni hatua.
Ndugu WanaJF,
Tumeona ni vyema kuitambulisha kwenu wizara hii na majukumu yake ili kuifahamu vizuri.
Ni matarajio yetu kuwa Utambulisho huu utasaidia pia wadau kuuliza maswali sahihi yahusuyo wizara.
KUHUSU WIZARA
Wizara ya Katiba na Sheria ndio muhimili mkuu wa Serikali katika masuala...
Asante kwa maoni na ushauri.
Hili la lugha litazingatiwa katika hatua ya kuhakikiwa kwa tafsiri hizo kuangalia kama kilichotafsiriwa ni sahihi na hakijapoteza maana ya kile kilichokusudiwa katika utungwaji wa sheria husika.
Asante.
Asante kwa maoni na ushauri.
Masuala yote uliyoyaainisha yapo kwenye vipaumbele vya wizara na serikali kwa ujumla.
Tutatoa mrejesho wa hatua zinazochukuliwa katika taarifa zetu rasmi.
Asante.
Swali linalofanana na hili tumeshalifafanua katika majibu yetu yaliyopita.
Zipo hatua za kinidhamu huchukuliwa katika ngazi husika dhidi ya watendaji au watumishi wa umma wanaoenda kinyume na sheria za nchi au maadili ya kazi zao.
Asante.
Kikao kazi cha wataalamu wa sheria kutoka taasisi mbalimbali wakiongozwa na Wanasheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, hivi karibuni kilianza kazi ya kutafsiri sheria zote nchini.
Kikao kazi hicho cha awamu ya kwanza cha siku 8 kilianza kazi Machi 3 na wajibu wake ni kutafsiri sheria 16...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.