Recent content by wiza bulambu 1

  1. W

    JamiiForums Tanzania jamani hivi love connect..

    dah wabongo sijuwi kama baathi yao wanaitumia bongo yao vizuri...!!!
  2. W

    JamiiForums Tanzania jamani hivi love connect..

    love connect inamaana gani kwa lugha ya kiswahili...? maana kwa uelewa wangu mm ni sehem ambapo unaweza kutana na mtu mwenye hitaji la (mme)(mke) au rafiki..... why mtu akipost anahitaji rafiki au mpenzi kunawatu hum jf kazi yao kupoteza maana halisi ya love connect...? badilikeni hili ni jukwaa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania A serious man to spend with the rest of my life

    [QUOTE= ooh my god DAAKIBOGA i wishing you all the best..! but do you know GOD love you how are..??? have a lovely sunday... by WIZA BULAMBU 1.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kwa wageni wote.

    [QUOTE= tupo pamoja mpka kieleweke mìi ........nawajuwa wengi tu wenye id zaidi ya 1.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mdada natafuta mchumba

    huna mtoto hata mmoja? mbona umri umeenda...?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

    kila la kheri!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mchumba (..mke..)

    acha niitwe mbaguzi... umri wangu ni miaka..30.. elim yangu dgree ya madin.. sijawahi owa wala sina mtoto.!! nafanya kazi za kuhama hama yani miezi 6 MTWARA na 6 MARA... nahitaji mchumba awe na kama ifuatavyo---- umri 22 hadi 30... kabila MSUKUMA halisi...asiwe na mtoto... wala...kuwahi kuishi...
  8. W

    JamiiForums Tanzania habari za humu wa jamii.....??

    habari za hapa wana jf ?
Back
Top Bottom