Recent content by wiz

  1. W

    JamiiForums Tanzania NAPE NNAUYE eti utawala bora wa CCM ndo umefanya LEMA ashinde kesi hii

    Nadhani huo ndio mtazamo wake na mwisho wa uwezo wake wa kufikiri ndio huo. Tumuombee tu apate busara kwani huyu jamaa anapenda kuropoka halafu hajifunzi.
  2. W

    JamiiForums Tanzania TAARIFA ya kuvuliwa uanachama CHADEMA kwa Juliana Shonza(M/Kiti), Mtela Mwampamba na Habibu Mchange

    Mtu anayempinga ama kumkashifu mkubwa wake katika mtandao ama media hafai. Haijalishi anafukuzwa na nani ila bottom line, wanatakiwa kuondoka katika chama. Tuache ushabiki shabiki wa kisiasa.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Clouds hawajielewi!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Serikali Imewekwa Mfukoni na Kampuni ya Multichoice!

    Dstv kama kampuni inataka sana kuweka local channels ila kuna disagreement fulani ambazo nadhani watakubaliana tu sooner or later.
Back
Top Bottom