Recent content by wisemanmpaji

  1. wisemanmpaji

    Kikuu vs AliExpress

    Nilinunua kikuu simu samsung ni fake Haiwaki Nifanyaje wananizingua ata ku return Ni sehemu gan nnaweza nkapata msaada wa kisheria katika izi organization za serikali Sent using Jamii Forums mobile app
  2. wisemanmpaji

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Asa ivi wamerahisisha ukiwa na namba ya nida tuuu una pewa tin namba kwa njia ya online Sent using Jamii Forums mobile app
  3. wisemanmpaji

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Kwelii kabsa ni matamu sana Na ni mepesi kuiva Sent using Jamii Forums mobile app
  4. wisemanmpaji

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Nmenunua simu samsang j7 kikuu ni fake yaani haifanyi kazi kabsa na kikuu wananizingua kufanya return Jamani ni sehemu gani naweza pata msaada wa kisheria katika hizi organization za serikali? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. wisemanmpaji

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Asante vipi kuhusu delivery wanafanyaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. wisemanmpaji

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Jamani naombeni kuuliza ni kampuni gani gani zuri linalouza bidhaa mtandaoni linalouza vitu original kwa bei ya kawaida kwani kikuu nimeona bidhaa zao ni fake Sent using Jamii Forums mobile app
  7. wisemanmpaji

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dawa ipi ya uume kusinyaa? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom