Uvundo jamani magamba mnatisha kinoma. Mipango ya Chadema mtakujaisoma 2015. Pale juu siyo mavuvuzela km nyie magamba. Ruzuku ya Chadema inawahusu nini? Ndo nyie mkiona mtu anakula dagaa eti kafulia, akili finyu kweli hujui dagaa zina Madini muhim kwaajili ya afya ? Magamba badilikeni kifikra
Tatizo la magamba hawaamin km wananchi wakichoka wanaweza kufanya lolote? Wamebaki kusingizia Chadema. Halafu magamba yanasahau mapema km kuku, sasahiv wamechakachua matokeo ya kidato cha nne wanaandaa wamachinga wengine, hawa wakija kuandamana wakidai Haki zao za msingi utashangaa ooh Chadema...
Chadema bado kazi kubwa iko vijijini. Kama elimu itapenya huko basi ukombozi utakuw a umepatikana kwa watanzania . Hao wanyilamba wacheni waendelee kulewa ngojera za akina Mwigulu, ujinga wao ni fahari kubwa kwa Ccm na Nchemba wao.
Utashangaa kuona watu wanashangilia matokeo mapya badala ya kulia. Ilichofanya serikali ni sawa na mtu aliyeuchi kuziba USO akidhani kajificha. Serikali inaangalia kujaza madarasa na si ubora kazi kwetu watoto wa masikini.
Hivi uprofesa alipata wapi. Kasahau kabisa Kuwa elimu aliyopata ni kwa manufaa ya watanzania, nasi kuwakandamiza Kama anavyofanya yeye. Uongozi ni hekima siyo elimu. Muhongo inabidi abadilike kulinda heshima ya uprofesa wake
Chadema wamchukue huyo dogo akakae makao makuu. Awape Siri zote za Mwigulu. Bado kidogo Nchemba ataanza kuokota makopo, atamtukanaje Dr. Mkumbo wakati si mgombea? Hizi ni dalili za ukichaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.