Nikweli kama tabia tu kwa hapa tanzania mwalimu huchukuliwa kwa marks za kiwango cha chini ila uzuri wake wafikapo chuoni licha ya kufanya masomo ya ualimu pia hurudia masomo anayoenda kudundisha shuleni kwa kudundishwa tena na wakufunzi ili wawe wafanisi kazini. Hivyo wanaozingatia huwa wazuri...
Nikweli usemavyo hata mimi naamini hii sehemu ni sehemu yakuweka vitu vyamaana viusuyo elimu kwaujumla kwa mtazamo chanya kwa ajili ya maendeleo ya elimu yetu hapa nchini, lakini mara nyingi watu huandika chuo fulani kimefanya nini sijui basi ilimradi nae kaandika jamani ebu tuifanye hii...
Kwa kweli bado napata kigugumizi sana kwa wanasiasa wengi hapa nchini na hata nje ya nchi pale unapowasikiliza hoja zao na pindi zinapochujwa na wataalamu wa mambo yakisiasa huonekana ni chache huenda zikatekelezeka na zingine ni kama mapambio ya majukwaa na kuvutia watu, wengine pia huthubutu...
Watanzania tuinue viwango vya elimu kwa kigezo cha ubora pia na si wingi wa wanafunzi wanaojiunga nakuhitimu kiwango fulani cha elimu. Haina maana yoyote kuwa na wahitimu wa kidato cha nne wengi wakiishia kupata sifuri na hii inasababishwa na uchaguzi mbofu wa wanafunzi wa kuingia kidato cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.