Recent content by wisee

  1. W

    Naweza kumuoa huyu?

    Thank you!
  2. W

    Naweza kumuoa huyu?

    POLE SANA... I understand how it feels bro.... Nimependa kitu kumoja toka kwako... You are so real. Story nzima inajieleza wazi kabisa kuwa ww ni mtu wa aina gani... LOVE is a precious thing.. Its a gift. Am telling you, not everybody knows how to handle it... Hata humu kwa wengi unaonekana...
  3. W

    Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

    Mrejesho wa nin tena kaka?
  4. W

    Hivi ni sahihi kwa mpenzi wangu kuniita mume wake?

    Kwa maoni yangu ni kama unampenda ila humuamini (Kama una wasiwasi nae na kutoamini labda mambo yake/mienendo/tabia zake kiujumla!!?) AU Hujiamini kama unamstahili....
  5. W

    Hivi ni sahihi kwa mpenzi wangu kuniita mume wake?

    Love is feelings, with it anything is possible!
  6. W

    Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

    Isitoshe moja ya madhara ambayo me nilimkuta nayo ni maumivu makali ya uti wa mgongo usawa wa kiuno. Kwa hivyo alipokua akilalamika hiyo hali nikamweleza hiyo ndio kati ya madhara, ambapo pingili za mgingo zinalika na wakati Mwingine hupelekea hata ugonjwa wa uti wa mgongo n.k So mateso ya...
  7. W

    Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

    SURE! Lkn kidogo CASE zinatofautiana hapa. Huyo wa kwako bado yuko willing kuendelea. Huyu wa kwangu amekua cancelled sana kimwili na kiroho vilevile Kiasi ambacho ye mwenyewe ametaka kusaidiwa kuacha kama msaada unapatikana, ndo maana ktk Maelezo nikasema, alikuwa tayari hata kwenda kama ni...
  8. W

    Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

    Wanao support hili, wanachojaribu kusema ni kwamba pamoja na mazingira yote kuto kuruhusu posibility ya kusikika Kwa Azaan nje ya Dunia and in a vacuum or something, lkn still sauti ilisika, there for it was a miracle for the God of Azaan to prove that is the one to be worshiped. Ni kama Yesu...
  9. W

    Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

    Yote yawezekana tu ndugu... All in all kua kinachohitajika ni msaada kupitia ushauri, so still una fursa ya kutoa ushauri wako. Karibu sana!
  10. W

    Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

    Unaposema ni ngumu kuacha kabisa milele maana yake nikubali kuwa kuna nyakati awe anaenda kufanywa hivyo, maana Mimi kama Mimi situmii na sitegemei. So kuna mwanaume mwenye kuweza kubeba jambo kuwa mkewe awe anatoka nje ya ndoa for sometimes???
  11. W

    Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

    Kweli, ila kaka, yooote hayo nilishamuelezaga to the point ambayo nilidhani kaelewa na anaelewa sina future nae, ila kwakua kamaamua kuniganda na kunitunuku burebure tu, ndo nikawa najikuta naendelea kugonga gonga huku masiku yanakwenda tupo tu. SO kimsingi kila mbinu nilishatumia, lkn pia as i...
  12. W

    Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

    Ni ndefu sababu niliwahi kuuliza kisanii kuwa "mwanamke aliyezoea kufanya kinyume inawezekana akaacha ikiwa yuko tayari kuacha!?", nlipata majib mengi tu, mazuri na mengi ya utani na miyeyusho, Kwa hyo sikuwa nimekata KIU ya moyo wangu. Ndio sasa nikaona niiulize ktk uhalisia wake na ili...
Back
Top Bottom