Recent content by WISE G THE BRAIN

  1. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kwa Masters

    Asante sana mkuu
  2. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kwa Masters

    Wadau habari za Muda huu, Ninaomba ushauri kidogo Kwa wanaojua Nina mdogo wangu ni mwalimu wa sekondari aliyeajiliwa alisoma Bachelor of Arts with Education GPA ya 3.4 Anataka kusoma Masters lengo lake ni kubadili kada kutoka ualimu au kupanda ngazi na kutoka kwenye kufundisha aende kwenye...
  3. W

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA AJIRA (FULL TIME EMPLOYMENT)

    Thanks mkuu
  4. W

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA AJIRA (FULL TIME EMPLOYMENT)

    Habari wana JF mimi ni kijana wa kiume nimesoma BA of Arts with Education St augustine university (2015) nikafanikiwa kupata kazi kwenye kampuni ya mawasiliano kama mzimamizi wa mauzo kwa miaka miwili mpaka mkataba ulipoisha, kwa sasa natafuta kazi katika kada ya Elimu,Au kwenye NGO au kazi ya...
Back
Top Bottom