Recent content by wisdom mapambano

  1. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

    Ni nchi moja inaitwa United States of America wana state kama 51 hivi
  2. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi moja inakuwa na mafanikio makubwa hivi?

    😀😀😀 umenikumbusha plate number yangu ya gari imeandikwa hivi hawa watu acheni tu wako level nyingine kabisa
  3. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kimbari yanaweza kuja Tanzania. Ikulu isiendelee kushupaza shingo kupuuza madai ya wananchi

    https://www.instagram.com/p/DRMDIkMDNwA/?igsh=MWtqdzcxNTJqd3p6eQ== Soma comments please
  4. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Nadhani viumbe vilivyoko kwenye ulimwengu wa roho hazina kazi ya kufanya ndio maana muda wote wanahaninga na wanadamu

    Usiombe yakukute hao wazungu wapi au hawa ambao nipo nao huku lol 😆 acha tu ndugu
  5. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu punguza kujiinua

    Mwanadamu unaposhiba, usiwasahau wenye njaa. Mwanadamu unapofanya sherehe, usiwasahau wale walio katika matanga. Mwanadamu unapokalia kiti cha mamlaka, usiwasahau wale wanyonge waliopo nje ya boma. Mwanadamu, punguza kiburi juu ya nguvu unayodhani unayo. Jiulize: Mungu wa mbinguni ana...
  6. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Acha unafiki wangekuwa ndani wangeweza ku survive zaidi ya kuuliwa au kutekwa
  7. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

    Mali zinarudi ila maisha ya watu kama uhai ndo basi tena don’t support violence against people .. ni Aibu aseee
  8. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania tulioshindwa kuandamana kwasababu yoyote (nje ya nchi, kijijini saana n.k) tumeamua kuishia kuteta mitandaoni tu?

    Tangu wiki iliyopita nilitimiza wajibu wangu , so tuwatie moyo waliofiwa na wenye maumivu
  9. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

    Wanasema maneno yako ni matupu mwenye nguvu mpishe
  10. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Unawapa watu hofu kwa create fear. Hizi ni propaganda if you don’t have proof no need to lie.
  11. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    Kwamba Wanampamgo wa kumtangaza mama kama Raisi?
  12. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Haikuwa hekima wakati huu kuyaandika hayo , yes they are right.. ndo maana nchi imemshinda mpaka sasa.
  13. wisdom mapambano

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kikwete akimbilia Kenya

    Kafanya Jambo gani kwa sasa ?
Back
Top Bottom