Pongezi nyingi sana kwako Ibravo kwa kujaribu hasa kwa nia ya kutaka kuona matokeo.
Siku zote wanaojaribu huwa ndio waalimu wazuri wa makosa yatakayo kuja mbeleni. Katika dunia ya leo usipofanya kitu hakuna kitu kitakachotokea, ila ukijaribu lazima kitu kitokee. Ubora wa kitakachotokea...
Ni kwelu ni swali gumu. Ila employers mara nyingi hupenda kufahamu weakness zako ili waone kama kwao ni opportunities. Mapendekezo yangu unaweza jibu moja ya weakness zangu ni kua siwezi kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja. I mean u give me one work at time then giv me another one.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.