Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali.
Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya kuongeza mtaji wa biashara au kufungua biashara ya pamoja ya nafaka.
Pia nina heka tano za kilimo ambapo...
Habari,
Naomba kufahamu kama kuna taasisi, kampuni, au mtu binafsi anayetoa mikopo kwa kutumia nyumba kama dhamana (collateral) bila hitaji la kuwa na leseni ya biashara au ofisi.
Nimejaribu kufuatilia kupitia benki mbalimbali lakini imekuwa ngumu kupata huduma hii kutokana na masharti mengi...
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi
Bei nafuu na makubaliano mazuri
Tunazingatia viwango vya ujenzi na usalama
📞...
Tunatoa huduma za kitaalamu za uwekaji wa Tarazo (Tiles) kwa ubora wa hali ya juu kwenye maeneo mbalimbali:
🔹 Mashule (madarasa, korido, vyoo)
🔹 Parking (maeneo ya magari)
🔹 Underground floors (basements)
🔹 Nyumba binafsi (residential houses)
🔹 Ofisi, maduka na majengo ya biashara
💼 Kwa nini...
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri
✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na...
Habari wanajamii,
Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania.
Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu.
✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu
✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri
✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na...
Habari wadau. Natumaini wote wazima. Twende kwenye mada moja kwa moja, Natafuta mtu au kampuni iliyo sajiliwa Tanzania kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara katika kuingiza na kusambaza bidhaa za vinywaji kutoka nje ya nchi (international beverage brand) kwenye soko la Tanzania.
Kwa sasa niko...
Bei: 50,000 TSH
✔️ Bramu mbili (Dual Plates) — pika vyakula viwili kwa wakati mmoja!
✔️ Linafanya kazi kwa haraka na kuokoa umeme
✔️ Salama kutumia — lina thermostat ya kudhibiti joto
✔️ Muundo wa kisasa na rahisi kusafisha
📦 Tunafikisha popote ulipo DAR ES SALAAM — BURE kabisa!
📍 Tupo...
TANGAZO LA BIASHARA
Unauza Viatu au Una Dukayaani? TWIGA ni Bidhaa Unayohitaji!
Tunawakaribisha wauzaji wa rejareja wenye maduka ya viatu, au maduka ya jumla kununua kwa bei rafiki bidhaa yetu maarufu ya TWIGA – Dawa ya kung’arisha viatu (nyeusi).
Faida za Bidhaa Yetu:
Inang’arisha viatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.