Sioni kosa kwa Luaga Mpina kama mwakilishi wa Jimbo la Kisesa, kwakuwa anatimiza majukumu yake ya Kibunge ipasavyo. Tatizo ni kwa upande wetu sisi baadhi ya vijana kuwa wapuuzi sijui ni kukosa kazi au njaa ndizo zinazotusumbua na kuona anakosea. Unayemtetea hapo kama anakupa kula tambua wakati...
Mtu pekee wa kumshindanisha na Diamond ni Ally Kiba katika hii nchi,Harmonize bado anahitaji kujifunza vitu vingi kutoka kwa Diamond.
Kwa mfuatiliaji mzuri wa muziki ataamini hiki ninachosema,kusanya ngoma za Mondi na Harmonize Kisha ulinganishe ubora.
Au Angalia fanbase,mauzo au contracts kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.