Recent content by Winner Magele

  1. Winner Magele

    Unawezaje kuyajua ya mwilini kisha rohoni ya kushinde? Jifunze kusoma alama za nyakati

    Mathayo 16;1-4 Wakamjia mafarisayo na masadukayo, wakamjaribu, wakamwomba awaonyeshe ishara itokayo mbinguni. [2] Akajibu, akawaambia, [Kukiwa jioni, mwasema, Kutakuwa na kianga; Kwa maana mbingu ni nyekundu. [3] Na asubuhi, mwasema, leo kutakuwa na dhoruba;Kwa maana mbingu ni nyekundu, tena...
  2. Winner Magele

    Ujumbe kwa Wanaume kwa mwaka huu 2019

    Haya mkuu Mungu akusaidie wakati una vuta subira Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Winner Magele

    Ujumbe kwa Wanaume kwa mwaka huu 2019

    Natamani Mungu akusaidie usiwe mzinifu Og Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Winner Magele

    Ujumbe kwa Wanaume kwa mwaka huu 2019

    [emoji24][emoji24][emoji24][emoji119] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Winner Magele

    Ujumbe kwa Wanaume kwa mwaka huu 2019

    Mwaka 2019[emoji116][emoji116] Mathayo 5;27-29 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; [28] Lakini mimi nawaambia,kila mtu amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake. [29] Jicho lako la kuume likikukosesha, lingoe ulitupe mbali nawe; Kwa maana yafaa kiungo chako kimoja...
  6. Winner Magele

    Mambo mengine ni kanuni.

    Wewe wasema[emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Winner Magele

    Mambo mengine ni kanuni.

    Mambo mengine ni kanuni Malikia Esther akishinda,lazima Hamani Mgagi atutindikwe kwenye msalaba ule ule alio uchonga mwenyewe#kikokotoo# kikokotoozi ni wasomi wa Biblia ndio wanaweza kuelewa hili fumbo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Winner Magele

    Mambo mengine yana muhitaji shujaa kama Malikia Esther

    Mambo mengine ni lazima apatikane Malikia Esther anaye weza kusimama kidete mbele ya mfalme hausuero kwa ujasiri,na kukubali kuwatetea Wayahudi wote kwa pamoja kama Taifa yaani "wafanyakazi" Bila kujali itikadi ya vyama, rangi, dini au ukabila, dhidi ya sheria kandamizi ya kikokotoo iliyo...
  9. Winner Magele

    Ushauri wa bure

    Kwani kutoa fedha kwa ajiri ya kitu ambacho sio chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisicho shibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono @pastorwinner @magelewinner_tz . Isaya 55;2
  10. Winner Magele

    Mkamilifu ni Mungu pekee tu.

    Pamoja na hayo lakini fahamu kumkosoa Mungu au kuvunja amri zake, bado haku muondolei sifa ya yeye kuwa mkamilifu
  11. Winner Magele

    Mkamilifu ni Mungu pekee tu.

    Wakati mwingine ni vizuri kujua watu wana sema nini kuhusu wewe,ikibidi wape uhuru wa kujieleza waseme vile wanavyo kujua, Naamini hii ndio njia pekee ya wewe kujua watu wengine wana waza nini kukuhusu, Kumbuka ni Mungu pekee ndiye anaye tuwazia mema, Yeremia 29;11 Siku zote mawazo ya...
  12. Winner Magele

    Kuhesabiwa hakukuanza leo ila kulikuwepo toka wakati wa Yesu.

    Mala nyingi siku za sikukuu,huwa ni siku ambazo ukienda kwenye nyumba nyingi za wageni utaambiwa nafasi zimejaa, Hii ni kwa sababu watu wengi,hupenda kwenda kupumzika mbali na makazi yao,ya siku zote. Jambo hili halikuanza leo, ila limekuwepo toka wakati wa kuzaliwa kwa Yesu Kristo, maandiko...
  13. Winner Magele

    Vongozi wa imani waliowahi kupitia misukosuko lakini mwisho wakaibuka na kuwa mashujaa wa imani;

    Siku zote watu wenye hatima kubwa zenye utukufu daima,huwa wana pitia changamoto mbali mbali,na misukosuko kwenye maisha yao, Lakini jambo la muhimu ni vizuri kujua siku zote mpango wa Mungu kamwe hauwezi kufa kwa mapenzi ya mtu, siku moja ndoto au maono ya mtu yatatimia, hata kama sio kwake...
  14. Winner Magele

    Mengi: Bila K-lyn huenda ningeshakuwa nimekufa

    Una weza usimwelewe vizuri mzee Mengi alicho maanisha kwa K-Lyyn kama wewe sio msomaji mzuri wa Biblia,na mwenye kutafakari maneno ya Mungu kwa undani, 1 Wafalme 1;4 Biblia ina sema[emoji117]Mfalme Daudi alikuwa mzee mkongwe katika siku zake, nao waka mfunika nguo lakini asipate moto, (2)-Kwa...
Back
Top Bottom