Recent content by Willyshumb

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuelekea oktoba 25, Rais Daniel Arap Moi aionya Tanzania, kawataka ICC kuwa macho

    Comment ya Mzee Moi ni nzito na ya maana kwa Amani ya Watanzania.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Daftari la kuhakiki kupiga kura na Website ya tume, nani anatoa uhakiki sawa?

    Kitambulisho umuhimu wake nini kama ulazima wa Daftari bado ni walazima ili mtu akubalike kupig a kura,?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

    So kweli, Makatibu wa wizara wapo,na vipi utaratibu huu uwe ktk Uchaguzi huu?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Rais na Mawaziri kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Tanzania

    Bunge lilishavunjwa, mawaziri walikuwa wabunge,hivo moja kwa moja uwaziri unakoma.Huwezi kuwa waziri ukiwa sio mbunge,kipengere hiki kinachanganya.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwa barabara hizi jimbo la Ubungo, Mnyika ni Mbunge wa Kudumu

    Acha porojo za mitaani huna hoja.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kipi bora, kujiunga chuo au kidato cha tano?

    Bj. Tote sawa tu .
Back
Top Bottom