Recent content by Willy Masumbuko

  1. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

    Kwa kuongezea,Rostam Azim na Kampuni yake ya Caspian walipata hisa asilimia 35 Vodacom.Hivyo Rostam na Ngeleja ni maswahiba wa siku nyingi.Mswahili mwingine aliyekuwa na hisa na Peter Noni kupitia kampuni yake ya Planetel.Bw Noni ni MD wa benki ya TIB kwa sasa.So, JK hana ubavu wa kumtema...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

    Hivi nani asiyejua kuwa Ngeleja analipa fadhila kwa Rostam Aziz kuhusu issue ya Dowans? Kwa wale wasiofahamu, Ngeleja alikuwa mfanyakazi wa Vodacom kama Mwanasheria na alipoamua kwenda kugombea ubunge Sengerema, gharama zote za kampeni zililipwa na Rostam. Pili,Idris Rashid aliyekuwa Mkurugenzi...
Back
Top Bottom