Jambo Tanzania!
Jaman ndugu zangu naomba niweke hadharani, Nina matatizo flani na nimepita pita kwa mafundi tofauti tofaut, nimeshafika Anden, rufiji, bagamoyo, chalinze na pangani kwa professor flan, nazan baadh yao hao mafundi Nina iman baadhi yenu mtakua mnawafaham ama kuwasikia. So shida...