Recent content by willibert paul

  1. W

    Simulizi kuhusu kazi zangu katika taasisi ya NASA

    Post nzuri inatupa elimu mpya tutaendelea kufuatilia unachoandika
  2. W

    Natafuta kazi; nina shahada ya Sayansi ya misitu

    Hata miti ya matunda pia inalipa unapanda ya muda mfupi ili kusupport shamba la miti ya mbao.
  3. W

    Natafuta kazi; nina shahada ya Sayansi ya misitu

    Usijikite kwenye mawazo ya kuajiriwa,anza mradi wa kuotesha maua na miti unauza huko huko mjini,ukipata pesa uwe unanunua ardhi kijijini unaanzisha shamba la miti ya mbao kidogo kidogo mwisho utapata mafanikio makubwa kupitia ujuzi wako wa sayansi ya misitu.
  4. W

    Nauza Sony Homethieter

    Homosapiens! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    NACTE/NECTA

    Kama umesoma sekondari nje ya Nchi yetu baada ya kutunukiwa hivyo vyeti unavipeleka kwenye hayo mabalaza kwa uthibitisho baada ya verification unapewa kicheti fulani cha uthibitisho ama Namba ya verification, ila kunakuwa na malipo ila si makubwa.
  6. W

    Tunaotarajia kwenda kufundisha kiswahili afrika kusini tukutane hapa

    Nashukuru kwa wale mmesaidia kumshauri ndugu anayetaka kwenda kufundisha Kiswahili nje ya Nchi.
  7. W

    Tunaotarajia kwenda kufundisha kiswahili afrika kusini tukutane hapa

    Kama umesomea lugha ya Kiswahili Unajisajiri Bakita ambalo ni balaza la kiswahili Tanzania ada yake ni 10,000 kisha unapigwa kozi ya kiswahili kwa week moja,unapewa cheti na jina lako linaingizwa kwenye data ya walimu wa Kiswahili,unaweza sasa kupata kazi nje ya nchi.
Back
Top Bottom