Habari za mda huu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimekuja hapa kupata ushauri.
Nimekuwa nikisumbuliwa na kuumwa kwa tumbo Mara tu nilapo vitu vilivyotengenezewa unga wa ngano ( mfano: maandazi, mikate etc).
Kwa takribani miaka mi 3 hivi, nimejaribu kwenda hospitalini lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.