Recent content by william mathayo.jr

  1. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Waafrika tusimame, tumuunge mkono M7.

    Kwa jinsi bangi inavyovutwA ni kama imeharalishwa na pia kutoa mimba kunadhuru kiumbe kilicho tumboni kwa hiyo ni case nyingine haya we niambie ushoga wa mtu mwingine una hathari gani kwako
  2. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Waafrika tusimame, tumuunge mkono M7.

    Sioni tatizo lakini pia sioni umuhimu kumzuia mtu kufanya kitu ambacho akina athari kwa mtu mwingine ni sawa na kuingilia uhuru wake
  3. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Waafrika tusimame, tumuunge mkono M7.

    Ukweli ni kuwa hata ukipigwa ban na sheria still ushoga upo utakuepo na ni tabia miongoni mwa wanajamii so ni sawa na kazi bure
  4. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Jkt

    hahahaha we unaumiza roho za wengi
  5. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Wale wa accounting na commerce tujikumbushe topic na changamoto kwa ujumla

    mzigo wa stock valuation ulinifanya nione accounting ngumu sana ila nilifurahia sana company accounts na HP hasa kwenye part ya redemption
  6. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    kitendoo tu cha kuwa engineer kinanitofautisha na technician kwa sabab engineer ni knowledge based na technician ni competence based so may be tofauti ipo kwenye malengo ya kozi husika inatoa wahitimu wa aina gan
  7. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    acha kutudhalilisha ma engineer wa DIT ww
  8. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Ozil aanza kazi;Bale baadaye

    jamaa anatupa raha mashabiki wa aseno sa hivi kilo zinaanza kuomgezeka
  9. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wasichana waathirika wa vvu wamesambazwa vyuo vikuu vyote nchini?

    kijana we unabagua lakini ukimwi haubagui so watch out...unafikiri wao walipenda kuwa waathirika au wao hawana ndoto kama nyie na wao ni banadamu..wengine walizaliwa nao au walibakwa wengine hali ya maisha ilipelekea kuwa hivyo na hapo unaweza sema ujui hali yako ikoje jaribu kukaa na waathirika...
  10. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania mliopita jkt mwaikumbuka hii

    duh mkubwa umetisha
  11. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya vyuo bora tanzania na kozi wanazoongoza kwa ubora wake.

    hivi mkuu hii kitu ni kweli au maana october si ndio vyuo vinafunguliwa
  12. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Je umechaguliwa course ya ndoto yako?

    being an accountant was my dream and it is coming true nipo IFM pale bachelor of accounting
  13. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Wale wa IFM tufahamiane hapa jamani!!

    accounting
  14. william mathayo.jr

    JamiiForums Tanzania Msipotoshe kuhusu jkt awamu ya tatu

    hahahaaaa umenifurahisha xana
Back
Top Bottom