Mtu mwenyewe alishatangululia huko nashindwa hata kusema mbele za haki. Labda niseme juu ya mleta uzi kwamba kwa huu uzi anaisaidia CDM au anakusudia nn? Sidhani kama chadema wanahitaji msaada huo otherwise ni uhuru wa kutoa maoni!
Kama wanataka hivyo basi wangeipiga marufuku CC ya CDM, Kwani walivuliwa vyeo na watu wawili??? Rai....Eti nguvu ya hoja. Tena naamini kuwa kama uamuzi wa kuwaengua hawa jamaa ulikuw ni w kikatiba; hakuna kundi la wanachama linaloweza kuwa juu ya katiba. Mwisho kabisa; Hii ni propaganda!!! CDM...
Inawezekana uzi huu umeandika usiku wakati kuna giza rohoni mwako. Ni kichekesho kumfananisha Zitto na Martin Luther King, lakini kama haitoshi umetoa tusi kwa wakristo wote kumfananisha Zitto na Yesu. Nina mashaka kama wewe ni Mkristo.
"Mwigamba alisema waraka wake unatofautiana kwa kiasi kikubwa na ule ambao Chadema kinasema kuwa ndiyo halisi. Mwisho wa kunukuu. Walala Dr. Kitila Mkumbo aliukubali kwenye kamati kuu. Ilikuwaje akaukubali kama aliona kuwa ulikuwa umebadilishwa? Au unamanisha ulibadilishwa baada ya yeye kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.