Ndugu wanafunzi wenzangu, kwa majina ninaitwa Willbrod Burchad, ndo naingia mwaka wa 3 ktka chuo kikuu cha Dodoma, nipo college of humanities & social sciences. Mmi ndiye waziri wa mikopo katka college of humanities & social sciences.
Kama kiongozi na mwanafunzi mzoefu napenda...
Asivituhumu vyombo vya habari, sisi wenyewe tunaona kinachoendelea, kila kitu wanabadilisha, kwa mfano, wananchi tulipendekeza mali ziwe chini ya wananchi, lakini kamati zimebadilisha na kutaka mali zote ikiwemo ardhi iwe chini ya serikali kwani wananchi hawana mamlaka ya kusimamia mali zao. je...
Ni kweli kuwa udom tumekuwa na matatizo hasa ya bum, na hili limekuwa ni kikwazo kikuu kwa wanafunzi, na kuhusu pesa za field/pt kwa mwaka wa masomo 2024/2015 tumeondoka bila kusaini labda tu kwa wale wa business na health science. Mimi kama kiongozi katika wizara ya mikopo chss nimepewa jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.