Wengi mnadanganywa kutumia madawa yasiyo sahihi majumbani. Nawashauri muwasiliane na wataalamu wa wizara ya kilimo kuna kitengo maalumu cha kudhibiti panya na sumu za panya ziko za kutumia majumbani na za kutumia mashambani. Hizo zinazoua maramoja siyo za majumbani na zina hatari kubwa.
Namshangaa waziri kukimbilia kujibu na kusema wanaanza mchakato. Nilitegemea aseme atafanya utafiti ili kuona kweli kodi ya miezi sita kama ni kero na kwa kundi gani na aina gani za nyumba. Hii inadhihirisha jinsi serikani inavyowaweka watanzania wote kwenye kundi la maskini. Hivi mtu anayepanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.