Recent content by wilfred the optimist

  1. wilfred the optimist

    Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    Acha ujinga wewe unaposema ccm inawanachama rasmi 14,566,000 una uhakika walio na kadi wote watawapigia kura mm nawafahamu watu zaidi ya 100 tuliokua na kadi za ccm lkn tumeshawashia moto tumezitupa kabisa think b4 hujaongea ujinga
  2. wilfred the optimist

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Niko kny foleni mikocheni vijana wanaume ni wengi sana tunasubiria kuyachinja mafisi ccm bye bye
  3. wilfred the optimist

    Wafanyakazi wengi serikalini kumpigia kura JP Magufuli

    Think kwanza kabla ya kuandika huo upuuzi
  4. wilfred the optimist

    GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Kuna watu nao humu kumbe ni sawa tu na huyo bondia hv mtu unalinganishaje IQ na vyeti nadhan hujui hata maana ya IQ Kwa kifup IQ ya magufuli ni zero kabixa ndo maana anaweza kuruka kny magari na kupiga push up ovyo ovyo
  5. wilfred the optimist

    Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

    Ikulu ni mahali patakatifu pombe haihitajiki,
  6. wilfred the optimist

    Tume ya uchaguzi NEC imeuza taarifa za wapiga kura kwa mgombea wa CCM!

    Hapa dalili zinaonekana mapema nec watahujumu kura zetu naomba kama kuna m2 mwenye idea niende wapi nika complain
  7. wilfred the optimist

    Dr. Slaa: Niko tayari kula mihogo Ikulu

    Kweli unayaamini haya?? C kwel and that means yote aliyosema c kwel
Back
Top Bottom