Kigwa aliona kapuyanga kurukukia alichosema bashiru na mama kukazia wasimsifie basi ameamua kuja kwenye kiki hii! Basi uwe unaongea vitu nya maana Kama hivi
Muacheni huyu mama amechanganyikiwa atarekebisha baadae maana hapo najua kichwa kimejam, kuongoza nchi sio mchezo bora uwe msaidizi, ila sasa maamuzi yatakuwa juu yake🙏🏿🙏🏿
Dah!! Huu ugonjwa usikie tu maana ukikupata huna pakupapasa, hujui wapi panakuuma na huelewi unaumwa nn!! Unajisikia vibaya hata huwezi kumuelezea mtu unaumwaje!! Nashukuru nilipona haraka Sasa sijui Kama sikupata utando wa ubongo maana nilishuka kimasomo😁😁😁😁
Kaka afande unabahati mbaya maana wanawake huwa wanabebana Sasa Kama huyo aliyekukamata ni mwanamke Basi umeisha!! Ila umebugi sana! Kina mambo ya kuomba rushwa ila sio kwa mtoto amegongwa na pikipiki, Basi hapo najua umeshakula hela ya dereva toyo ndio maana unamzungusha kwa kuomba mzigo
Sio kwamba sisi ambao ni wahusika wa kusafiri tutakuwa tumepata unafuu maana tutakata tiketi elekezi?? Kama ni elfu kumi basi ni elfu kumi hakuna kudalaliwa??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.