Search results

  1. W

    Kigwangalla: Kwanini Serikali imenunua mabehewa ya SGR yaliyotumika (used)?

    Kigwa aliona kapuyanga kurukukia alichosema bashiru na mama kukazia wasimsifie basi ameamua kuja kwenye kiki hii! Basi uwe unaongea vitu nya maana Kama hivi
  2. W

    Paul Makonda na William Malecela waburuzwa kizimbani kwa tuhuma za kudhulumu gari

    Huyu alijua ataishi milele kwa kudhulumu, ngoja akione cha moto mbwa kabisa😡😡😡😓😓
  3. W

    Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

    Muacheni huyu mama amechanganyikiwa atarekebisha baadae maana hapo najua kichwa kimejam, kuongoza nchi sio mchezo bora uwe msaidizi, ila sasa maamuzi yatakuwa juu yake🙏🏿🙏🏿
  4. W

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    Asee Sasa ukute wengine walipita kwa kuunga unga Sasa unarudishwa utaanza upya🤔🤔🤔
  5. W

    Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

    Siku tatu tu mzee, hapo hizo siku tatu unakuwa Kama umewekewa pasi mwilini
  6. W

    Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

    Dah!! Huu ugonjwa usikie tu maana ukikupata huna pakupapasa, hujui wapi panakuuma na huelewi unaumwa nn!! Unajisikia vibaya hata huwezi kumuelezea mtu unaumwaje!! Nashukuru nilipona haraka Sasa sijui Kama sikupata utando wa ubongo maana nilishuka kimasomo😁😁😁😁
  7. W

    Je, ipi ni nafasi ya dalali kwenye upangishaji wa nyumba?

    Siko busy kiivo mpaka nianze kutafuta dalali nawakati naweza kuzunguka nusu saa napata chumba
  8. W

    Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

    Kaka afande unabahati mbaya maana wanawake huwa wanabebana Sasa Kama huyo aliyekukamata ni mwanamke Basi umeisha!! Ila umebugi sana! Kina mambo ya kuomba rushwa ila sio kwa mtoto amegongwa na pikipiki, Basi hapo najua umeshakula hela ya dereva toyo ndio maana unamzungusha kwa kuomba mzigo
  9. W

    LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

    Sio kwamba sisi ambao ni wahusika wa kusafiri tutakuwa tumepata unafuu maana tutakata tiketi elekezi?? Kama ni elfu kumi basi ni elfu kumi hakuna kudalaliwa??
  10. W

    Vikwazo vya kiuchumi ni nini na viko vya aina ngapi?

    Yaani kumbe Korea tulilingana kiuchumi ila leo wametupita 🤔🤔, Basi mungu ana makusudi huenda tusingekuwa na hii amani
  11. W

    Vikwazo vya kiuchumi ni nini na viko vya aina ngapi?

    Asante sana baba Sasa nimeelewa vikwazo vya kiuchimi ni nn, na pia nimegundua kwann wahindi hawaendi chuo kikuu alafu matajiri wa kutupwa🤔🤔🤔
  12. W

    TCRA yapewa miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu za mkononi kwa wananchi

    Mbona miezi mingi hivo kwani wanasafiri kuwafuata mbali! Mawasiliano si wanayaona Kila siku
  13. W

    Serikali kuanza uchunguzi dhidi ya QNET baada ya wengi kujiripoti kuwa wametapeliwa na wengine kuacha kazi kabisa

    Hii kampuni naisikia sana na nimefuatwa na marafiki zangu wengi ila niligoma maana imekaa kifreemason!
Back
Top Bottom