Recent content by Wilezdor

  1. Wilezdor

    Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

    Hakika yamefanyika na ni pongezi kubwa kwa rais na serikali yake.Nguvu ikiwezwa zaidi katika kuandaa elimu hasa ya uzalishaji kwa maana ya ufundi kwa aina zake,tutaiona Tanzania yenye wasomi wenye tija katika nyanja mbalimbali
  2. Wilezdor

    "The code of civilization", ambayo ikivunjwa Dunia haitakalika tena.

    Hilo unalosema ni sawa,lkn kwa mjibu wa sheria na kanuni zilizopo zinatosha kuitawala dunia bila dini.
  3. Wilezdor

    Picha hii inaeleza kitabu chenye kurasa nyingi sana

    Hakika ni vitabu vingi sana lkn kama nchi ni suala la fedheha nchi kufika umri mkubwa ikiwa nyuma kiasi hicho katika masula ya uzalishaji na kutokutilia mkazo elimu ya ufundi na uwezeshwaji wa watimu
Back
Top Bottom