Ndugu yangu Kishoka achana masuala ya Dini,Nchi hii haiongozwi kidini,hakuna Dini yoyote ile inayopendelewa ndani ya nchii inayoongozwa kwa utawala wa sheria.
Kwahiyo kakangu usiupotoshe umma wa watanzania kwa kuleta ubaguzi wa kidini.wewe unaonekana si mzalendo wa nchi ambaye unachochea...
The Moment Of Truth:The Complete Text.(What Every Tanzanian Should Read)
by Ernesto Sheka on Thursday, October 21, 2010 at 8:19am
Tarehe 17 Oktoba nilieleza kijuujuu kwamba inawezekana mwaka 1979 Mwalimu Julius Nyerere alipomsimamisha kazi Edwin Mtei(gavana wa BoT wakati huo),kinyongo...
Hatupo kwenye ajira.cc ni wazalendo wa nchi yetu tunaojua CCM imetutoa wapi na sasa tuko wapi na tunaelekea wapi.
Hatuwezi kumpa nchi mtu tapeli,mnyang'anyi na mpotoshaji wa jamii.Hura zetu tutampa KIKWETE kwa kuwa amefanya mazuri tumeyaona na kuna mengi mazuri yaja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.