Recent content by Wilehard perfect

  1. Wilehard perfect

    Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

    Kweli kabisa unachoongea na ningependa kuongezea Kuna vitu vinaweza endelea ndani ya ndoa ambavyo vinawashikilia wote wawili washindwe kuachana. Achilia mbali na shelia za dini, au kuwa na watoto. Kuna issue za mali na umiliki vinaweza vikawa vikwazo.
  2. Wilehard perfect

    Umewahi kuota unavua samaki kwa ndoano? Hii ndio tafsiri yake

    Mkuu ahsante sana kwa tafasiri nzuri ....
  3. Wilehard perfect

    Mei 15: Siku ya Kimataifa ya Familia. Unajivunia nini kuhusu Familia yako?

    Familia yetu naipongeza kawa ushikamano.. tupo vzury kwakweli.
  4. Wilehard perfect

    Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?

    Andiko lako ni zuri miongoni mwa wachangiaji wengine. Hata hivyo kutokana na mchango wako huu ili uweze kufikia lengo lako unatakiwa uwe rais wa nchi mwenye maamuzi kwenye eneo kubwa. Pamoja na hivyo ikiwa una uwezo wa kumshawishi rais na baraza lake la mawaziri kwa hoja, unaweza kufikia lengo...
Back
Top Bottom