Recent content by widmark johnson

  1. W

    JamiiForums Tanzania ITV mnaficha nini kwa Lowassa? Picha ya Bukoba leo mmedanganya?

    Safi sana maana maelekezo yako yametosha sana kwa huyu jamaa anaetaka kusapotiwa ujinga
  2. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa Afunika Iringa

    Wa bongo bwana kwani afya yake inakusaidia nini au inakukera nini unaacha kujadili afya yako unajadili afya ya wenzio badilika
  3. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Alikiba na Neyo katika ubora wao

    kwani kingereza ninini? punguza dis zisizo za msingi,lini mtawapa support wasanii wenu kwa mtazamo neyo mwenyewe kafurahia lile tukio wewe unae angalia picha unaishia kudis ina kusaidia nn
  4. W

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Ali Kiba

    Alikiba anawakosesha sana amani baathi ya watu maana kitu kidogo wanataka kumkuuzia, kwa hili umebugi aisee kama ulitaka shika masiko ya watu pole:thinking:
Back
Top Bottom