Recent content by why this

  1. why this

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Unaanza kutumia maji halafu toilet paper unajikaushia yale majimaji
  2. why this

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Kwani ukitumia toilet paper maji hutumiiiiii????? Huo ndio uchafu mkubwa sana....
  3. why this

    Anayeweza kuimba kitu hii

  4. why this

    Niliwahi kuota Mungu ametupikia ubwabwa kwenye kasufuria kadogo tukala dunia nzima tukasaza

    Mungu kwa muonekano ni binadamu halisi kama sisi ila ni mkubwa sana wa umbo... Alikuwa amevaa shati na kaptula... Uso wake wa upole sana anayependa kukusikiliza unapoongea naye
  5. why this

    Niliwahi kuota Mungu ametupikia ubwabwa kwenye kasufuria kadogo tukala dunia nzima tukasaza

    Niliwahi kuota mwisho wa dunia,tulipofika mbinguni,mimi na kaka yangu tukamuulizia mungu kwa malaika wakatujibu alikuwa kanisani kwa muda ule... Tulimfuata kanisani akatoka akatushika mkono kwenda hukumuni.... Akapika ubwabwa kwenye kasufuria kadooooogo tukala wote dunia nzima tukaacha... Wakati...
  6. why this

    Nikikasirika mvua inanyesha

    Huu mchezo hautaki hasira beautygirl...
  7. why this

    Nikikasirika mvua inanyesha

    Hiyo ni mvua gani? Au ni kwamba unatoa sana mate unapoongea ukiwa umekasirika.?
  8. why this

    Msaada wa android phone repair

    Msaada wa android phone repair
  9. why this

    Msaada wa android phone repair

    Naomba msaada My phone numbers are 0658444850 0789444850
  10. why this

    Msaada wa android phone repair

    Htc desire 616 Screen touch hairespond kabisa. Sony xperia P LT 22i Ukiwa unaicharge haiingizi chaji,inaweza ikajaa lakini ghafla inaashoot down to 0%. Nadhani tatizo ni battery au charging system. Naomba msaada wa fundi dar.
  11. why this

    Msaada wa android phone repair

    Inapungua hadi 0% hata kama ilikuwa imejaa ghafla
  12. why this

Back
Top Bottom