kavimba tumbo??kama anagoma kula tu na anatapika afu anapiga kama chafya it either anatoa meno (stage io) au minyoo(kama hukumpa chanjo ya awali 2.5months) mchome sindano ya minyoo na mpe vidonge vya pet force usisahau kinga ya kichaa
Utanielewa soon mkuu….without disrespect ukiwa smart ao wa osterbay unao wasema hawawezi kukupata instead watakuomba msaada wawapate wengine kaa kalibu na huu uzi 🪖
Tulipoishia
Basi long story short saa sita nikaaga naondoka akasema nimepeleke adi anapo kaa nikaona isiwe kesi nkampakiza kwenye pikipiki yangu hadi anapokaa kufika akasema kasahau funguo kwa rafk ake anae kaa nae room na tumemuacha kwenye bash tukalud akawa kashaondoka na boy wake na...
Habari njia pekee yakutoa cheti kilichokosewa kua uploaded ajira portal ni kufika ofisi zao posta dsm jengo linaitwa UTUMISHI kalibu na kivukoni Dodoma UDOM utawala jengo la utumishi asharose migiro road ….hakuna njia yoyote yakufuta kwenye system hata ukipiga simu kupokea ni nadra sana...
Tulipoishia
Lecture akaingia akaita group wakenda ku present kidgo akawatimua akasema hawapo serious akaita kundi letu alio wafukuza hajawapa marks ata moja nikaona duu leo
EP05
Tunaendelea
Group letu tukapita mbele ya darasa wenzangu kwakua walikua wamejiandaa wakaanza kupresent mmoja...
Huu upande sitauongelea sana killer ila kwa maisha ya chuo ukishakua na vijihela unapendeza sana na pia unajulikana hasa mkoa utanapata sana bebez na pia huo mwaka nilipata tuzo ya best entrepreneur student of the year ndio ilinipa ukaribu na wanawake wengi sana hata ninaeishi nae kwa sasa...
Upo sahihi ila Nataka kuelezea ili wasomaji waweze kuelewa mwanzo ulikuaje…sijasoma UDOM na hata nlichosomea kinahusu number sana ndio maana sio mzuri kwenye kuandika pia kuanzia kesho ntakua naweka episode 2 utapata mengi yakujifunza tena sana kuhusiana na biashara ya simu ufundi nk usiwe na hofu
Tulipoishia
Nikampigiakwanza jamaangu wa android akanambia master amenipigia kanambia anakutafuta upokei simu zake ana return za wateja kama simu10 kashapeleka kwa mafundi wameshindwa kutengeneza
Nkaona aah sasa kajaa kwenye mfumo wangu
Tuendelee
Nikampigia simu master ikaita...
Tulipo ishia
Mimi;We unamapepe anko nkacheka
Master;Hadi hapa unaonekana ni master mind njoo ucheki mizigo
Ep03
Tuendelee
Tukaingia dukani kwake akatuonesha mzigo nikaanza kukagua simu moja moja kila kitu kuanzia battery health,massage(display +battery) kama ni bypass au Offical kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.