Binadamu wamepewa ufahamu wa hiyari achague zuri au baya ndomana mungu akashusha vitabu vyenye kubainisha baya na zuri. Na baada ya hapo peponi hakuna maombi
Ni katone Kati ya mautundu ya Sir god kumuumba mwanadamu.. Na kampenda mwanadamu kuliko viumbe wengine na akimuona anamuabudu huwaambia malaika mnamuona mjawangu, Yu dhaifu\ana matamanio Laikini ananiabudu.
Ivi bila bunge haiwezekani?? Mbona kutorushwa live imewezekana... Tunataa kupunguza gharama na wabunge nao wafanye kazi za uzalishaji.. Sio maigizo tu wakati watendaji ni mawazir na na watakalo lileta bungeni halipingwi.
Hahaha anategemea Masele ashinde.... magufuli aliemnadi kwakusema "naombeni mumsamehe sana najua hajafanya lolote lakini naombeni mumsamehe naye pia ni binadamu"
Kuna duka falan Leo nimenunua bidhaa za 40000tsh nikaandikiwa risiti ya kielekroniki 10000tsh nikaangalia makato ya kodi ni 18%. sa nikajiuliza kwahiyo TRA wameingiza 1800tsh badala ya 7200tsh...???? Hiv kwa mfano wangetoza tozo ndogo tu kama 10% si wangepata 4000.. Maana tozo ndogo haiwez...
Kuna watu wamepanga chumba tu kimoja hakuna jiko wala sebure ikifika muda wa kupika wanatoa jiko nje anapika na unakuta nyumba moja inawapangaji hata 8 kwahiyo kwa umeme ni virahisi kuwafungia luku kwa kila mmoja.. Na anaweza kuvuta waya wake paka pale anapo pikia nikama kuchaji sim tu :-)
Kama Tz yetu hauijui vile. Mipango miji mibovu hayo mabomba lazima yahusike na bomoa bomoa lazima itachukua muda.. Na umeme tunao na baadhi pia yavijiji wanao, tatizo gharama, hatuwez shindwa kupikia umeme kama gharama zitapungua. Kuhusu mkaa mi sijasapot matumiz ya mkaa maana yanaharibu misitu...
Kwa Tanzania hii tunataka maji kwanza.. Hizo pesa za kusambaza mabomba ya gesi wasambaze maji. Ona kipindupindu sababu kuu ni kutokuwa na maji safi na salama.
Hivi kweli na mradi wa makaa yamawe ulishia wapi ?????? maana ulikuja kwa kasi kama hii gesi.. Sijaona chochote nlijua kukata miti bye bye sasa ni makaa yamawe, na mgao kwisha maana kikwete alisema watafua umeme
Sioni kama kuna ulazima wa kupika kwa kumia gesi, watumie gesi kutuzalishia umeme wa uhakika wenye gharama nafuu. Tutatumia majiko ya umeme.. Tupunguze usumbufu wa mamitungi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.