Recent content by Whk

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wizi katika Biashara za Mtandoni

    Biashara Za Mtandaoni zinatusaidia sana kupata vitu kwa bei rahisi sana Ila sasa Biashara hii imeingiliwa na Matapeli wengi. Sasa utamjuaje uyu ni tapeli.? JINSI YA KUMJUA TAPELI WA MTANDAONI 1. Mabadiliko ya namba za simu za huduma kwa mteja. Yaani kila ukiperuzi bidhaa utakuta baada ya muda...
  2. W

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Zinakinga ndugu kwa asilimia 90,ww meza na usiwe na hofu, mana nakumbuka mi nilipiga shoo balaa na nilikuwa naaminj kwa asilimia
  3. W

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Nilipima mwezi 1,3,6,8 nilikuwa na mchubuko pia na nilitumia izo izo dawa ARV na zilikuwa 38 mana aliyenipa alifanya kunichotea, nilikunywa kila siku saa mbili usiku zote zikaisha
  4. W

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

  5. W

    JamiiForums Tanzania Watoto kuzaliwa wakiwa na jicho moja kubwa na lingine liko kawaida.

    Tatizo ili liko kwangu kwa kuwa hawa watoto kila mmoja ana mama yake, ingawa mimi sina tatizo ili wala kwenye ukoo wetu.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Watoto kuzaliwa wakiwa na jicho moja kubwa na lingine liko kawaida.

    Hata mimi nilidhani hvyo sasa najiuliza watoto wote nitakao wapata watakuwa na hyo cancer?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Watoto kuzaliwa wakiwa na jicho moja kubwa na lingine liko kawaida.

    Habari zenu Wanajamvi. Wakuu naomba msaada Mwaka 2020 Mwenyezi Mungu alinipa mtoto wangu wa tatu ambaye alikuwa anajicho moja kubwa na lingine lilikuwa la kawaida, mtoto uyu alifariki 2022 ghafla mana ilitokea kama degedege ndani ya saa mbili akawa amefariki. Mwaka huu 2024 Mwenyezi Mungu...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Ndio wote watatu walikuwa mama tofauti, na wanawake 3 walitoa mimba tena mmoja ikiwa na miezi 6.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Nilikuwa na watoto 3 mmoja akafariki akiwa na miaka 2 ,nimebakiwa na watoto wawili.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Sawa nitajaribu kufuatilia hilo japo sidhani, mana mimi nina watoto ambao niliwapata kabla ya kukutana na mke wangu na pia mimba nyingi nimetungisha kwa wanawake tofauti tofauti sema walizitoa kwa sababu zao, na hata nilipokuwa na mke wangu alikaa mwezi mmoja tu akawatiyari ameshika ujauzito.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Muda mwingine huwa linanijia swala la kwenda kwa waganga wa kienyeji manaa kabla kuwa na uyu mke wangu nilikuwa na mwanamke ambaye nilimuacha kwa kuwa tulishindwana kitabia na mambo mengi, hakuwa ameridhika nadhani mpaka sasa anakinyongo na mimi .
  12. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Mgumu kunywa dawa.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Kati 1 hadi 6 hakuna alichokiota ndoto pekee aliota ni kwamba kwenye ndoto kama alikuwa omeondoka nyumbani wakati anarudi anamuuliza mtoto wake kindoto baba yako yupo? Ni mtoto wa miaka kama 6.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

    Kivip ? yan sijakuelewa.
Back
Top Bottom