siku moja paka na mbwa walikuwa wanapiga stori. ikawa kama hivi
paka: mimi nashangaa sana , yani huyu binadamu anatudharau sana maana katika wanyama awafugao wote anawala kasoro mimi na wewe mbwa tuuu !!!
Mbwa: oya acha acha ujinga , uwe unatumia akili ukiwa unaongea maneno kama. usije...